
SERIKALI YAJA NA MKAKATI KUONGEZA HAMASA YA KUKUZA ELIMU,UJUZI NA UBUNIFU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu ni sehemu ya mikakati ya serikali katika kuongeza hamasa ya kukuza elimu ujuzi na ubunifu katika kuchangiza maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Mkenda amesema hayo Mei 27, 2024 jijini Tanga wakati akifungua Maadhimisho hayo ambapo amesema…