Bodaboda fursa ya ajira iliyogeuka kichinjio

Dar es Salaam. Licha ya usafiri wa bodaboda kuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya wananchi vijijini na mijini, umeibua mjadala kuhusu usalama barabarani, utekelezaji wa sheria na changamoto za uhalifu. Sheria ya usalama barabarani, kanuni zinazotungwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, zinabainisha…

Read More

Vyakula vinavyoondoa mafuta mwilini | Mwananchi

Katika ulimwengu wa leo ambako uzito kupita kiasi na unene ni changamoto kubwa kwa watu wa rika mbalimbali, wengi wamegeukia njia za haraka za kupunguza mafuta mwilini kama vile dawa za kupunguza uzito, mazoezi ya ghafla au hata upasuaji. Hata hivyo, ukweli ni kwamba mojawapo ya njia bora, salama na ya kudumu ya kupunguza mafuta…

Read More

Madhara ya kubana haja ndogo muda mrefu

Dar es Salaam. Je, una tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu yani kuanzia saa tatu na kuendelea? Unajua ni kwa namna gani tabia hiyo ni hatarishi kwa afya yako na mfumo wa utoaji takamwili kwa ujumla? Baadhi ya watu hubana mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali,  ikiwemo kutokuwa katika mazingira rafiki ya…

Read More

Lishe inavyoathiri hisia, afya ya akili

Watu wengi wanapozungumzia lishe, mawazo huenda moja kwa moja kwenye uzito wa mwili, nguvu za mwili au maumbile ya nje kama vile ngozi, nywele na misuli.  Hata hivyo, kuna upande mwingine muhimu wa lishe ambao haupewi uzito wa kutosha, nao ni ule wa athari zake kwenye hisia na afya ya akili.  Lishe unayokula kila siku…

Read More

Hekima ya Sunna ya Aqiqa katika Uislam

Dar es Salaam. Aqiqa” ni mnyama anayechinjwa kwa ajili ya mtoto wa kiume au wa kike siku ya saba baada ya kuzaliwa, kwa ajili ya kumshukuru Allah Mtukufu. Ibada hii ni Sunna muhimu katika Uislamu ambapo familia inafurahi kwa kupata mtoto mpya. Ushahidi wa Sunna hii ni kauli ya Mtume wa Allah (Rehema na amani…

Read More

MBETO ASEMA WALICHOKIPAMDA ACT WAZALENDO NDICHO WATAKIVUNA

 :::::::::: Na Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa urais , badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zito Kabwe kuacha kutoa shutuma zisozo na sababu wakati Luhaga Mpina ameengulia kwa kukiuka masharti ya katiba ya chama hicho….

Read More