
Uchaguzi Chadema Kanda ya Nyasa waiva, uenyekiti Njombe hakijaeleweka
Mbeya/Dar. Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, hatima ya uchaguzi uliofutwa wa kumpata mwenyekiti mpya wa Mkoa wa Njombe bado iko gizani. Uchaguzi wa kanda hiyo unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 katika mji wa Makambako mkoani Njombe, unawakutanisha wabunge wa zamani, Joseph Mbilinyi (Sugu), Peter Msigwa na…