
Makonda apiga marufuku hospitali kuzuia maiti
Monduli. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amepiga marufuku hospitali za mkoa huo kuzuia maiti kwa sababu ya kushindwa kulipa madeni ya gharama za matibabu. Amesema kazi ya huduma ya afya ni kazi ya wito ya kumtanguliza Mungu na kuwa katika baadhi ya maeneo wameona kuna changamoto na wanaotuhumiwa ni wataalamu wa afya, wkiwemo…