
Mkataba wa Tanesco, Songas watakiwa bungeni
WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe 31 Julai, 2024, wabunge wameitaka Serikali kuwasilisha bungeni nyongeza ya mkataba huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa leo Jumatatu bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Kishoa ambaye…