
Wadau wa elimu wataja mbinu kukabiliana na tatizo la ajira nchini
Arusha. Elimu ya ubunifu imetajwa kuwa suluhisho la kukabiliana na tatizo la ajira linalowakumba vijana wengi wanaohitimu masomo hapa nchini. Hayo yameelezwa leo Jumapili Mei 26, 2024 na wadau wa elimu kwenye uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya ujenzi wa maktaba ya jamii inayotarajiwa kujengwa Ngaramtoni mkoani Arusha. Kampeni hiyo inayoendeshwa…