Simu janja kutumika kulinda hifadhi za bahari Z’bar

Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi imeanza mpango wa kulinda na kusimamia maeneo matano ya hifadhi ya bahari kwa kutumia mfumo maalumu uliounganishwa katika simu janja. Hatua hiyo imekuja baada ya wizara hiyo kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kuhifadhi Wanyamapori (WCS), kugawa simu zilizounganishwa kimfumo kwa wasimamizi wa maeneo hayo Unguja na Pemba….

Read More

CHEZA EXPANSE TOURNAMENT NA USHINDE MGAO WA MERIDIANBET KASINO

PROMOSHENI ya Expanse Tournament ndani ya Meridianbet Kasino bado inaendelea, nafasi ni yako wewe mpenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni kuendelea kupiga pesa nyingi. Kushiriki kwenye promosheni hii jisajili hapa. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 400/= mfano Sloti ya…

Read More

Wakazi 1,428 Liwale kunufaika na mradi wa maji

Liwale. Wakazi 1,428 wa Kijiji cha Nangano kilichopo Wilaya ya Liwale mkoani Lindi wanarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Sh461 milioni unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa). Akizungumza leo Jumapili Mei 26, 2024 mbele ya kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava, Meneja wa Ruwasa Liwale,…

Read More

Mamia ya waumini wajitokeza kuwekwa wakfu Askofu Mwasekaga

Mbeya. Mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki kutoka maeneo mbalimbali nchini wamejitokeza katika ibada maalumu ya kuwekwa wakfu, Askofu msaidizi mteule, Godfrey Mwasekaga. Tukio hilo linafanyika leo JumapiliMei 26, 2024 katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa  mgeni rasmi katika ibada hiyo ya kumsimika kiongozi huyo wa kiroho. Mwasekaga aliteuliwa…

Read More

KASEKENYA AIPA TANROADS WIKI MOJA MALINYI KUFIKIKA

  Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha Mawasiliano ya barabara kati ya wilaya ya Ifakara na Malinyi katika kijiji cha Misegese, mkoani humo ili kuruhusu magari kupita mara baada ya daraja la Mto Fulua kuharibika kutokana na mafuriko. Kasekenya…

Read More

MRAMBA AONYA WANAOTEMBEA NA MAJINA YA WAGOMBEA MIFUKONI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv KATIBU wa Siasa,Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),David Mramba ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wake kwa watu walioanza kampeni kabla ya wakati wa uchaguzi huku baadhi ya wanachama wake wakitembea na majina ya wagombea mifukoni mwao kua watachukuliwa hatua kali za kwenda kinyume na maadili. “Nasema…

Read More

WANANCHI TUNZENI MIUNDOMBINU YA BARABARA – MHE. LONDO

NA OR-TAMISEMI , SINGIDA KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa rai kwa wananchi wa kata ya Minyughe na Makilawa kuhakikisha wanatunza miundombinu ya daraja la MInyughe lililojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.8 Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe.Denis Londo leo Mei 25,2024 wakati…

Read More