Uhusiano kati ya CCM, CPC fursa ya kutangaza utalii

Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amesema kuimarika kwa uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya chama hicho na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ni fursa kwa Zanzibar kutangaza sekta ya utalii kimataifa. Amesema hayo katika mazungumzo na ujumbe maalumu wa CPC yaliyofanyika ofisini kwake Kisiwandui,…

Read More

WASOMI,WANADIPLOMASIA WATAJA YATAKAYOFANIKISHA ULINZI,USALAMA AFRIKA…VIJANA WATAJWA

    Na Said Mwishehe, Michuzi TV WASOMI wa kada mbalimbali pamoja na wabobezi wa masuala ya ulinzi, Usalama pamoja na Diplomasia katika Bara la Afrika wameelezea mambo muhimu yanayoweza kusaidia katika harakati za kuimarisha amani katika Bara hilo yakiwemo ya kuwashirikisha vijana. Wakizungumza katika Kongamano maalumu lililoandaliwa na Uongozi Institute kujadili masuala ya ulinzi…

Read More

Ukosefu wa taarifa watajwa chanzo cha mikopo umiza

Geita. Kukosekana kwa taarifa sahihi za namna gani ya kupata teknolojia za kuzalisha bidhaa zenye ubora, yalipo masoko na namna ya kupata mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha ni miongoni mwa changamoto zinazowakwamisha wajasiriamali wadogo kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogovidogo ( Sido) mkoa wa Geita, Nina Nchimbi wakati…

Read More

Ujenzi wa barabara watajwa kuwakosesha wananchi maji

Unguja. Wakazi wa Mtumwajeni, Mkoa wa Mjini Magharibi wamesema katika shehia hiyo hawapati huduma ya maji kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa, bila kuelezwa tatizo na mamlaka inayohusika. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti Mei 24, 2024 wamesema siyo tu kukosa huduma, bali maji yanapotoka huwa na uchafu jambo linalohatarisha afya zao. Hata hivyo,…

Read More

MAMIA YA WASHIRIKI KATIKA MBIO ZA RUN FOR BINTI

Mei 25, 2024, Dar es Salaam: Washiriki zaidi ya 700 walishiriki katika mbio za Run for Binti zilizofanyika katika Viwanja vya Oysterbay, ikiwa ni msimu wa tatu wa mafanikio wa mbio hizi zinazoratibiwa na kuandaliwa na Smile for Community (S4C) kwa kushirikiana na Legal Services Facility (LSF). Lengo kuu la mbio hizi ni kuwawezesha watoto…

Read More

Kikwete: Chaguzi chanzo migogoro Afrika

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema miongozi mwa sababu za kuwepo kwa migogoro kwa nchi za Afrika ni kutozingatiwa kwa miongozo ya uwepo wa uchaguzi ulio huru na wa haki. Kikwete ameyasema hayo leo Mei 25, 2024 jijini Dar es Salaam katika mjadala uliokuwa sehemu ya mkutano wa maadhimisho…

Read More