
Makonda ataka mzigo usiku na mchana kunasua nyumba zilizozama
Karatu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Dadi Kolimba kusimamia kazi ya kutoa maji na kujenga mitaro ifanyike usiku na mchana katika Mtaa wa Mangafi ili nyumba 502 zilizofunikwa zaidi ya mwezi mmoja zirejee kwenye hali yake ya kawaida. Katika mtaa huo mpaka sasa kaya 889 zenye wananchi…