ONGEZEKO LA WAHITIMU LAZIDI KUPAA SUA

Na Farida Mangube, Morogoro Idadi ya Wahitimu katika Mahafali ya katikati ya mwaka kwa masomo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeongezeka kutoka Wahitimu 274 kwa mwaka 2023 hadi 777 kwa mwaka 2024 ambapo kati ya hao watunukiwa wanawake ni 284 sawa na asilimia 36.5 ya wahitimu wote. Amebainisha hayo Makamu wa Mkuu…

Read More

TARURA YAANZA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIWA NA MVUA – MALINYI

Na Mwandishi Wetu, Malinyi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa la kurekebisha haraka barabara zilizokatika wilayani Malinyi ili kurejesha huduma kwa wananchi. Naibu Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu OR-TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila amefika eneo lililoathiriwa na mvua na…

Read More

Kilichojificha mauaji ya Penina Goba

Dar es Salaam. Mauaji ya Penina Method, mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam yanaongeza orodha ya matukio ya wenza kuuawa kutokana na kinachoelezwa kuwa, wivu wa mapenzi.  Penina (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa panga chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo linalodaiwa kutendwa na mpenzi wake Joseph…

Read More

RC PWANI :WANYE VIWANDA PWANI TUMIENI WAANDISHI WA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge  akisisitiza jambo katika mkutano  huoKamanda  wa Jeshi la Zimamoto Mkoa  wa Pwani Jennifer Shirima akitoa mada   kwa waandishi wa habari  na wadau wa habari kuhusu umuhimu  wa kuwahi kutoa taarifa za majanga ya moto na ajali  pindi zinapotokea. Baadhi ya waandishi wa habari Mkoa wa Pwani wakiwa…

Read More

Majeruhi mlipuko wa Mtibwa wafariki dunia, vifo vyafikia 13

Morogoro. Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya kupasuka bomba la kusafirisha mvuke wa joto kwenye kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Mvomero mkoani hapa, imeongezeka na kufikia 13. Majeruhi hao waliokuwa wakitibiwa  Hospitali ya Benjamini Mkapa Dodoma baada ya kupatiwa rufaa jana kutoka Hospitali ya Turiani, wamefariki dunia. Akizungumza kwa njia ya simu na…

Read More