
Waziri Slaa aeleza hatima nyumba za miradi ya NHC
Dodoma. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeliomba Bunge kuwaidhinishia Sh171.37 bilioni huku ikisema ujenzi wa mradi wa Kawe 711 utakamilika mwaka 2026. Waziri Jerry Silaa leo Mei 24, 2024 amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 na kusema mwaka 2023/2024 Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), lilipanga kukamilisha ujenzi wa…