
Dc Mkinga awataka watendaji kutumia vizuri matokeo ya sensa kwenye kupanga ujenzi wa miradi kwenye maeneo yao.
Mkuu wa wilaya ya Mkinga Gilbert Kalima amewataka viongozi wa serikali za mitaa,kata,tarafa na wilaya kuhakikisha wanatumia matokeo ya sensa katika kupanga mipango endelevu ya kuwaletea maendelo kwenye maeneo yao. Kalima ameyasema hayo kwenye mafunzo ya usambazaji na matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi,kwa viongozi na watendaji wa wilaya ya Mkinga mkoani…