
Naibu Spika Zungu auliza swali kwa mara ya kwanza
Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameshauri Serikali kutumia kipengele cha dharura katika Sheria ya Manunuzi ya Umma, ili kuharakisha mchakato wa barabara zilizoharibiwa na mvua kwenye majiji ikiwemo jiji la Dar es Salaam. Hii ni mara ya kwanza kwa Zungu kuuliza swali akiwa katika kiti chake cha ubunge tangu alipochaguliwa kushika nafasi hiyo….