
Sheria ya habari yatua kwa Mwanasheria Mkuu Z’bar
Unguja. Wakati wadau wa habari wakishinikiza Serikali kukamilisha mchakato wa sheria ya huduma za vyombo vya habari, yenyewe imesema umefikia hatua nzuri na umefika kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na wakati wowote utafika Katika Baraza la Wawakilishi kujadiliwa. Hayo yamebainika wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari mwaka 2024 ambapo…