
Biteko: Mfanyeni kila anayekuja ofini kwenu aondoke na furaha
Mwanza. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka waandishi na waendesha ofisi (makatibu mahsusi) kuacha kauli za kuvunja moyo wananchi wanapofika kwenye ofisi zao kutatuliwa shida na changamoto wanazopitia. Akifungua mkutano mkuu wa 11 wa kitaaluma wa Chama cha Waandishi na Waendesha ofisi tanzania (Tapsea), jijini Mwanza leo Alhamisi Mei 23,…