‘Fuatilieni maendeleo ya watoto mashuleni’ Waziri Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo yao darasani. “Serikali inaendelea kuimarisha mahudhurio ya watoto shuleni kwa kuzungumza na wazazi ili kuhakikisha kila mzazi anasimamia mahudhurio ya mtoto wake, kwenda shule, kuingia darasani, lakini anaporudi nyumbani, mzazi afuatilie mwenendo wa masomo ya…

Read More

Hospitali ya CCBRT yaungana na wanawake kuadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula ya uzazi

Kila mwaka ifikapo tarehe 23 Mei, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula ya uzazi, ambapo kwa mwaka huu wa 2024, siku hiyo kitaifa inaadhimishwa mkoani Arusha. Wanawake wanaoendelea a matibabu ya fistula hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na watoa huduma wao nao pia  wameadhimisha siku hii ya kimataifa ya kutokomeza fistula. Lengo la…

Read More

Abiria Mwendokasi kutumia kadijanja kuanzia Julai

Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart), umesema Julai 2024, utaanza matumizi ya mageti ya mfumo wa kuchanja kwa kadijanja kwa ajili ya abiria watakaopanda usafiri huo. Kwa mujibu wa Dart, hatua hiyo itakuwa ni baada ya kukamilika kwa shughuli ya kufunga mfumo wa mageti katika vituo mbalimbali vya mabasi…

Read More

RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA DR.SUZAN IKULU ZANZIBAR

/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Dr.Suzan Homeida kutoka Nchini Rwanda, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2024 na (kulia kwa Rais) CEO wa PDB Prof.Mohamed Hafidh na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh…

Read More

Manusura wasimulia mtambo wa joto ulivyoua 11 kiwanda cha Sukari Mtibwa

Morogoro. Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa kilichopo Tuliani, Morogoro wameeleza jinsi bomba linalozalisha mvuke wa joto lilivyolipuka na kusababisha vifo vya wenzao 11 na wengine kujeruhiwa. Alfajiri leo Mei 23, 2024 wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji kiwandani hapo, ndipo bomba hilo linalopokea mvuke wenye joto kali limelipuka na kuwaathiri waliokuwa kwenye chumba…

Read More