Simulizi wanayokumbana nayo wanawake wauza ndizi mtaani

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Biashara hiyo imewapa mafanikio kama vile kujenga nyumba, kusomesha watoto, kusaidia familia zao mahitaji muhimu ya kila siku huku wakijisikia furaha kuifanya kama ajira inayoendesha…

Read More

TANROADS yaweka kambi kurejesha mawasiliano barabara ya Tingi-Kipatimo mkoani Lindi

Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga Hidaya. Kwa pamoja majanga hayo asili yalisababisha baadhi ya madaraja katika barabara hiyo kusombwa na maji jambo ambalo liliweka ugumu katika ufanyaji wa shughuli mbalimbali…

Read More

Jubilee Insurance yawakumbuka watoto wenye utapiamlo

Dar es Salaam. Katika kurudisha kwa jamii Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz General imetoa msaada wa vifaatiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala iliyopo Kinondoni Dar es Salaam. Vifaa vilivyotolewa ambavyo vimeelekezwa moja kwa moja kuwahudumia watoto wenye ugonjwa wa utapiamlo ni pamoja mfuko wa sukari, viti 15, maziwa maboksi matatu, sinki pamoja…

Read More

Wafanyabiashara Soko Kuu Mwanjelwa wagoma

Mbeya. Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mwanjelwa jijini Mbeya wamegoma kufungua maduka yao na kusababisha adha kwa wananchi ya kukosa huduma. Mwananchi Digital imefika sokoni hapo leo Alhamisi Mei 23, 2024 na kushuhudia milango yote imefungwa huku baadhi ya wananchi waliofika kupata huduma wakiduwaa wasijue la kufanya. Baadhi ya wafanyabiashara ambao wamegoma kurekodiwa wamesikika wakilalamikia…

Read More

UZINDUZI WA ‘MILIKI SIMU, LIPA MDOGO MDOGO’

 Highlights on the launch of ‘SIMU MPYA KWENYE MFUMO WA MILIKI SIMU, LIPA MDOGO MDOGO’ Vodashop Paloma, May 2024 Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Bwana. George Lugata amesema     Lengo mojawapo la Vodacom Tanzania PLC ni kuhakikisha tunaipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali, na hili litafikiwa kwa kuwaletea Watanzania…

Read More

Wananchi walalamikia rushwa kituo cha afya “walichukua zaidi ya laki mbili kumtibu “

Wananchi katika Kata ya Nyarugusu Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani Geita wamewatuhumu kwa kuwalalamikia Baadhi ya watumishi wa kituo cha afya Nyarugusu Kwa kuomba rushwa kwa Mgonjwa anayekwenda kupata matibabu pkituoni hapo bila kupewa stakabadhi ya Malipo huku wakiomba TAKUKURU kuchunguza watumishi hao. Wakizungumza katika Mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi…

Read More