Simulizi ya mafanilio, changamoto za wanawake wauza ndizi mtaani

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Biashara hiyo imewapa mafanikio kama vile kujenga nyumba, kusomesha watoto, kusaidia familia zao mahitaji muhimu ya kila siku huku wakijisikia furaha kuifanya kama ajira inayoendesha…

Read More

Basi la Takbir lapata ajali Singida

Singida. Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita limepata ajali na kujeruhi watu 18. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Mei 23, 2024 eneo la Manga lililopo Wilaya ya Singida mkoani Singida. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Amon Kakwale amezungumza na Mwananchi leo kwa njia ya simu na kuthibitisha…

Read More

Barrick yapongezwa kwa kutekeleza sera ya Local content kwa vitendo na kunufaisha Watanzania.

    Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido akisalimiana na Waziri wa Madini, Antony Mavunde alipotembelea banda la Barrick akiongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali wa Serikali. Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde, ameipongea kampuni ya dhahabu ya Barrick nchini kwa kutekeleza kwa vitendo sera ya ushirikishaji watanzania na kuwanufaisha kupitia mnyororo wa…

Read More

Rais wa Kenya atembelea Ikulu ya Marekani katika ziara ya kwanza ya kiserikali barani Afrika baada ya miaka 16

Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifungua ziara ya kwanza ya kiserikali mjini Washington na kiongozi wa Afrika katika zaidi ya miaka 15 huku Rais Joe Biden akijaribu kukabiliana na upepo wa kisiasa wa kijiografia katika bara zima. Biden alimkaribisha mwenzake wa Kenya katika Ikulu ya White House na kisha akaungana naye kukutana na viongozi…

Read More

PPAA mguu sawa kutumia kanuni za rufaa Julai 2024

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia tarehe 1 Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yalibainishwa jana Jumatano na Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando Jijini Dodoma wakati wa kikao kazi cha kupokea maoni ya uandaaji wa Kanuni…

Read More

Masisita wafurahishwa na maono chanya ya Polisi,endepo maboresho yataendelea imani itakuwa kubwa

Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa sasa Jeshi la Polisi limekuwalikionekana kuanza kubadilika katika utendaji kazi wao huku wakibainisha kuwa endapo mabadiliko hayo yakoendelea imani kwa wananchi itakuwa kubwa zaidi kwa Jeshi la Polisi. Hayo wameyabainisha walipofika katika shule ya Polisi Tanzania kuhudhuria halflang ya kuvishwa Nishani ambapo walipata…

Read More

Tanzania, Msumbiji wajadili mikakati kuinua biashara, uwekezaji

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino Augusto José Moreno na kukubaliana kufanikisha ushirikiano katika sekta ya biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jana Jumatano kwenye Ofisi…

Read More