
Asasi yapendekeza Bunge kuidhinisha mikopo ya Serikali
Dodoma. Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) umeshauri mikopo yote inayokopwa na Serikali kwa shughuli za maendeleo ipitishwe na Bunge badala ya jukumu hilo kuachiwa kamati zinazomshauri Waziri wa Fedha. Ushauri huo umetolewa leo Jumatano Mei 22, 2024 na Mkurugenzi wa mtandao huo, Hebron Mwakagenda kwenye mkutano mkuu wa mtandao huo ulioandaliwa kwa kushirikiana…