
Wadau wataka sera kusaidia wabunifu nchini
Dar es Salaam. Wadau wa ujuzi wa kidijitali, wameiomba Serikali kutengeneza sera itakayowasaidia wabunifu na wavumbuzi kushiriki katika masuala ya teknolojia kwa sababu kuna vijana wana mawazo ya kibunifu lakini sera zilizopo zinawasababisha kushindwa kufanya kazi kwa ukamilifu. Hayo yamesemwa leo Jumatano Mei 22, 2024 na mwezeshaji kutoka Kitengo cha Ubunifu cha Youth 4 Children…