
DKT. DIMWA AKUTANA NA SEKRETARIETI ZA MATAWI ZA WADI ZA JIMBO LA KWAHANI Z’BAR.
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amewataka Wajumbe wa Sektetarieti za CCM ngazi za Matawi, Wadi na Jimbo la Kwahani kuendeleza utamaduni wa kufanya kazi za Chama na Jumuiya zake kwa ubunifu na uchapakazi katika majukumu yao ya kila siku. Nasaha hizo amezitoa wakati akizungumza na wajumbe…