Sababu madini ya vito kuporomoka

Dar es Salaam. Kubadilika kwa soko, hali ya kiuchumi na mvua nyingi, zinatajwa kuwa sababu za kushuka kwa thamani ya madini ya vito. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya hali wa kikanda ya Desemba 2023. Ripoti inataja almasi, tanzanite na madini mengine ya vito kuwa  mauzo yake yameshuka kwa zaidi ya asilimia…

Read More

Jaji Mkuu, DPP watoa miongozo kesi za Plea Bargaining

SERIKALI imetunga kanuni na miongozo mipya kuhusu uendeshaji mashauri yanayomalizika kwa mshtakiwa kukiri kosa (Plea Bargaining), ili kumaliza changamoto zake zilizoibuliwa na wadau tangu utaratibu huo uanze kufanya kazi 2019. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Mei 2024, bungeni jijini Dodoma na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Eliezer Feleshi, baada…

Read More

Benki ya NMB yatoa msaada wa pikipiki 20 zenye thamani ya shilingi milioni 65 kwa mkoa wa Arusha, yajizatiti kuendeleza sekta ya utalii

.      Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 65 zitakazosaidia kuimarisha ulinzi mkoani Arusha. Mchango huo ambao umetolewa kwa Jeshi la Polisi mkoani humo unaendana na mpango mkakati wa benki hiyo wa kuendeleza sekta ya utalii unaolenga kuimarisha mifumo endelevu ya ikolojia ya utalii….

Read More

TDB yahimiza unywaji maziwa yaliyothibitishwa kuepuka maambukizi ya magonjwa

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) imewataka Watanzania kuacha kununua maziwa kiholela badala yake wanunue yaliyothibishwa ubora kuepuka maambukizi ya magonjwa kutoka kwa wanyama. Kulingana na bodi hiyo magonjwa yanayoweza kusababishwa kwa kunywa maziwa yasiyo salama ni pamoja na Kifua Kikuu, magonjwa ya kuharisha na Brucella ambao unafanana kwa karibu na…

Read More

Dk Bagonza: Hata viongozi wa dini wanahitaji msaada

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mjadala kuhusu matukio ya hivi karibuni ya watumishi wa Mungu kujiua, viongozi wa dini wameeleza wao pia ni binadamu wenye changamoto zinazowakabili, hivyo isionekane ajabu wanapohitaji msaada. Viongozi hao wameweka bayana kama ilivyo kwa binadamu wengine hata wao kuna wakati hupata msongo wa mawazo, hivyo ni muhimu kukawa na…

Read More

NSSF YAWAJENGEA UWEZO WASTAAFU, YAWAHIMIZA KUTUMIA MIFUMO YA TEHAMA KUPATA TAARIFA ZAO MBALIMBALI

Na MWANDISHI WETU, Mbeya. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendesha mafunzo kwa wastaafu watarajiwa zaidi ya 200 na kuwaeleza umuhimu wa kufuatilia taarifa zao mbalimbali kupitia mifumo ya TEHAMA ambayo inawawezesha waajiri na wanachama kupata taarifa zao popote walipo bila ya kulazimika kufika katika ofisi za NSSF. NSSF imetengeneza PORTAL ambayo kwa…

Read More

Tigo rekindle connection with over 20 million loyal customers. – MWANAHARAKATI MZALENDO

Copyright(c)reserved,not for resale Copyright(c)reserved,not for resale Dar es Salaam. 22nd May 2024. Tigo, the leading digital lifestyle company in Tanzania, is proud to announce the launch of its campaign named ‘Sako Kwa Bako ’aimed at not only rekindling the relationships with customers but also commemorating a milestone of reaching over 20 million subscribers. ‘Sako Kwa Bako’ simply translates to…

Read More