
Mabadiliko sheria ya madini yameinua Watanzania, yameongeza ajira 18,853
IMEELEZWA kuwa mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha watanzania wananufaika na rasilimali madini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Mei 2024 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta…