
Askari Kinapa anayedaiwa kumuua raia kwa risasi apandishwa kortini
Moshi. Gabriel Chacha Chokela, ambaye ni askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, akikabiliwa na kesi ya mauaji ya mwananchi wa kiijiji cha Komela, Octavian Temba (38). Temba ambaye anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi Mei 9, mwaka huu akiwa ndani ya msitu wa Hifadhi ya Mlima…