
Wiki ya AZAKI 2024 yazinduliwa rasmi Dar
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Justice Rutenge, amesema katika kutekeleza Dira ya Taifa 2050 wananchi wanapaswa kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata Dira bora kwa maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla. Rutenge ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki…