URASIMISHAJI MAKAZI KUBORESHWA-WAZIRI SILAA – MICHUZI BLOG

 Na Munir Shemweta Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema zoezi la urasimishaji linaloendelea maeneo mbalimbali nchini litaboreshwa ili kuleta ufanisi. Mhe. Silaa amesema hayo tarehe 21 Mei 2024 wakati wa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii kuhusu Utekelezaji Mradi Uboreshaji Usalama…

Read More

Ni mwanzo wa mwisho wa uongozi wa wazee Afrika?

Kama kipimo cha ujana ni chini ya umri wa miaka 50, basi Afrika ilikombolewa na vijana. Ukianzia kwa  Kwame Nkrumah, aliyeiwezesha Ghana kupata uhuru akiwa na umri wa miaka 47, hadi Mwalimu Julius Nyerere, aliyeiondoa Tanganyika kutoka kwa wakoloni Uingereza, akiwa na umri wa miaka 39. Ahmed Sekou Toure, aliyeipa Guinea uhuru, akiwa na umri…

Read More

PROFESA KITILA AFUNGUA WARSHA YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA UWEKEZAJI NCHINI YA MWAKA 2023

Na Mwandishi wetu Dodoma Wataalamu na wadau wa sekta zinazohusika na shughuli za uwekezaji nchini wameshiriki katika warsha ya kupitia rasimu ya ripoti ya uwekezaji nchini ya mwaka 2023 na kutoa maoni yatakayosaidia Serikali kuwa na mfumo jumuishi wa ukusanyaji taarifa za uwekezaji nchini ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa hizo. Akifungua warsha hiyo, jijini Dodoma…

Read More

FYATU MFYATUZI: Namna ya kuukwamua mgongano-muungano wetu

Fyatu Mfyatuzi, mwanazuoni, mzalendo, na mwanamapinduzi asiye kifani, nimejitoa kuchangia madini ya kuondokana na mgongano-muungano. Sihitaji kukaribishwa wala kulipwa kusaidia kufanikisha azma ya kuwa na kaya tulivu yenye mshikamano ambavyo haviwezi kupatikana kwa kuogopana, kudanganyana, kuzidiana akili au kufyatuana ilivyo. Muungano unataka vichwa vinavyochemka, ukweli, ushupavu, uwazi, uzalendo na utayari kufanya ambacho kimombo huitwa ‘give…

Read More

TIRDO WAPONGEZWA ZOEZI LA UKUSANYAJI TAARIFA ZA VIWANDA NCHINI

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Omari S.Shaaban amepongeza zoezi la ukusanyaji taarifa za Viwanda inayofanywa na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO). ‘’Hili zoezi ni muhimu sana hakikisheni mnalikamilisha kwa wakati ili walengwa waweze kupata taarifa sahihi kwani maendeleo ya Viwanda nchini inategemea taarifa…

Read More

Marekani yajitenga na safari ya anasa ya Rais Ruto

Nairobi. Serikali ya Marekani imefafanua kuwa haijaidhinisha malipo ya ndege binafsi ya Rais wa Kenya, William Ruto kwenda Marekani. Rais Ruto ameanza ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Marekani. Aliondoka nchini Kenya Jumapili, Mei 19, 2024. Katika mujibu wa taarifa ya leo Jumanne, Mei 21, 2024, Msemaji wa Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi, Andrew…

Read More

Kanuni za uchaguzi moto wadau, TLS kutua kortini

Dar es Salaam. Siku nne baada ya baadhi ya wadau kuilalamikia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakidai kutopewa muda wa kutosha kuchambua na kutoa maoni kuhusu kanuni za uchaguzi, Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeeleza kusudio la kuishitaki. Kanuni hizo ni pamoja na za INEC za mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji…

Read More

MAJALIWA: VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa habari za mitandao ya kijamii na vyombo vya…

Read More