
‘Hakuna uchumi imara bila teknolojia na ubinifu’
Dar es Salaam. Serikali imesema hakuna inchi itakayoendelea na kujenga uchumi kama haitawekeza katika teknolojia na ubunifu. Hayo yamesemwa leo Mei 21, 2024 na Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Corolyne Nombo, wakati akizindua wiki ya ubunifu kwa mwaka 2024 yenye kauli mbiu “Ubunifu kwa uchumi shindani.” Akizungumza katika uzinduzi wa wiki…