
MAKATIBU MAHSUSI WA OFISI YA RAIS -TAMISEMI WASHIRIKI MKUTANO 11 WA TAPSEA
OR – TAMISEMI, Mwanza Makatibu Mahsusi wa Ofisi ya Rais -TAMISEMI wameshiriki Mkutano wa 11 wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania(TAPSEA) unaofanyika Mkoani Mwanza. Mkutano huo unawakutanisha Makatibu Mahsusi wa Tanzania Bara na Visiwani, Ofisi za Serikali na zisizokuwa za Serikali lengo likiwa ni kukumbushana maadili ya kazi zao na kubadilishana uzoefu. Akizungumza kwa niaba…