
Safari kuhamia Dodoma kukamilika mwakani
Dodoma. Safari ya Serikali kuhamia jijini hapa itakamilika baada ya mpango kazi maalumu na ujenzi wa awamu ya pili wa majengo ya ofisi za wizara na taasisi utakapohitimishwa mwaka 2025. Aidha, Serikali imesema hadi sasa watumishi wa umma 25,039 wameshahamia huku taasisi zilizohamia zikiwa ni 65.Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge,…