
Askofu aliyedaiwa kujinyonga kisa madeni azikwa, anyimwa heshima
Dodoma. Mwili wa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania (TMC), Askofu Joseph Bundala (55) amezikwa kwenye kanisa la Methodist lililopo Ihumwa jijini Dodoma bila kupewa heshima za mazishi kama kiongozi mkuu wa kanisa hilo kutokana na kujinyonga hadi kufa kitendo, ambacho kanisa hilo linaamini ni dhambi. Mazishi hayo yamefanyika leo Jumatatu, Mei 20, 2024…