Sura tofauti INEC ikitoa magari kwa wagombea urais
Dar es Salaam. Hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutoa magari kwa wagombea wa nafasi ya urais 2025, wataalamu wa sheria wameibuka wakihoji ni sheria gani imetumika, tume yenyewe ikijibu hoja hiyo Japo wengine wamedokeza kwa kuwa magari hayo hayatampunguzia jambo lolote mgombea hakuna tatizo. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu,…