
Vikosi vya Urusi vyadai kutwaa udhibiti ngome ya Ukraine – DW – 20.05.2024
Watu wawili wamekufa kufuatia shambulizi la Urusi katika miji ya Kherson na Zaporizhia iliyopo kusini mwa Ukraine. Urusi imeendeleza mashambulizi yake huku ikitangaza kuchukua udhibiti kamili katika eneo la Ukraine la Bilohorivka ingawa Ukraine inadai kwamba wanajeshi wake wapo katika hatua nzuri ya mapamabano katika maeneo hayo ya mpakani. Soma zaidi.Mashambulizi ya Urusi yawaua watu…