
Mahakama yabatilisha hukumu kesi ya State Oil, Benki ya Equity
Dar es Salaam: Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu iliyoipa ushindi kampuni ya State Oil Tanzania katika kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 18.64 milioni (zaidi ya Sh47 bilioni) dhidi ya Equity Bank Tanzania Limited (EBT) na Equity Bank Kenya Limited (EBK). Badala yake Mahakama hiyo imeamuru kesi hiyo ya kibiashara…