Balozi Kasike ateta na mjumbe wa FRELIMO

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike leo Jumatatu amekutana na Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO, Alcinda António de Abreu na kukubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano kwa maslahi ya nchi zote mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya FRELIMO…

Read More

Dkt .Nchimbi aipongeza THRAPA kwa kuwakutanisha wafanyakazi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka Waziri wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumaliza changamoto wanazokutana nazo Watumishi ikiwemo kukutana na Jumuiya ya Maafisa wa Rasilimali watu na Utawala ili kuweka utaratibu mzuri utakaosaidia kupunguza Changamoto za watumishi nchini. Dkt. Nchimbi amezungumza…

Read More

Mafuriko Manyara yasababisha 600 kukosa makazi

Babati. Watu 600 wa kijiji cha Manyara, wilayani Babati mkoani Manyara, wamekosa mahali pakuishi baada ya makazi yao kukumbwa na mafuriko. Pamoja na kukosa makazi kwa kukumbwa na mafuriko watu hao pia mashamba yao yamesombwa na maji na kuharibu mazao yao. Mwenyekiti wa kijiji cha Manyara, Juma Jorojik ambacho kimepakana na ziwa Manyara, akizungumza Mei…

Read More

Wakurugenzi dhibitini mianya ya upotevu wa mapato – Mchengerwa

Na Mwandishi Wetu, Mikumi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wakurugenzi wote nchini kusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato ya halmashauri na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo wakati alipotembelea Kituo cha Afya Mikumi wilayani Kilosa mkoani Morogoro wakati wa ziara…

Read More

Wananchi walalamika kuchapwa viboko na viongozi wa serikali

Wananchi wa kata ya Kidegembye halmashauri ya wilaya ya Njombe wamelalamikia kitendo cha baadhi ya viongozi wa Serikali ya kata hiyo kuwachapa viboko wanapo kosea jambo ambapo wameiomba Serikali pamoja na Chama kuchukua hatua dhidi ya jambo hilo. Beatrice Msigwa na Luka Mangua ni miongoni mwa wakazi wa Kidegembye wameeleza hayo kwenye mkutano wa kamati…

Read More

Wafanyakazi NBS watakiwa kujiendeleza kielimu

Na Ramadhan Hassan, Dodoma NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ameitoa leo Mei 20,2024 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wafanyakazi wa Ofisi za Takwimu Tanzania Bara (NBS) na Zanzibar ( OCGS) Mkutano…

Read More