Samatta abeba kombe Ugiriki – Mtanzania

Na Mwandishi Wetu Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta ametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki akiwa na timu yake ya PAOK baada ya kuifunga Iris mabao 2-1 ugenini. Ikiwa ni msimu wake wa kwanza na timu hiyo aliyojiunga nayo akitokea Fenabahce ya Uturuki, amehusika katika mabao sita, akifunga mawili…

Read More

Watoto 18 kutoka mazingira magumu wajifunza Kichina

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiingiza lugha ya Kichina kwenye mitaala ya masomo ili ifundishwe shuleni, tayari watoto wa Kitanzania wamefadhiliwa kusoma bure lugha hiyo. Watoto hao 18 wanaotoka katika mazingira magumu, wanafadhiliwa kujifunza lugha hiyo na Chama cha Mabuddha cha China kilichopo hapa nchini, ambapo wakimaliza itawawezesha kupata kazi ili wajikimu kimaisha. Hayo yamebainishwa…

Read More

Ajira walioishia darasa la saba zaondolewa JWTZ

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeaondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya darasa la saba kwenye Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ). Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 20,2024 na Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Godfrey Pinda kwa niaba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, alipokuwa akijibu…

Read More

SMZ kupima utendaji kazi watumishi kidijitali

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itaanza kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi (PA) ili kuongeza ufanisi katika taasisi za umma. Kwa sasa Serikali inatumia fomu ya upimaji utendaji kazi (PAF) kuwapima watumishi wa taasisi za umma, ambapo utekelezaji wake ulianza tangu Novemba 2019 hadi sasa unaendelea. Hayo yameelezwa na Waziri wa…

Read More

Kamanda Mallya aagwa, Chongolo amtabiria makubwa

Songwe. “Heshimu kazi, penda watu na siyo vitu”. Hayo ni maneno ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya kwa askari wa Songwe wakati akiagwa rasmi katika mkoa wa Songwe ambako alihudumu pia katika nafasi hiyo kabla ya kuhamishiwa Dodoma. Machi 14, 2024, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius Wambura aliwabadilisha vituo…

Read More