
NAIBU WAZIRI NDERIANANGA ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI HALI NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NINO KATIKA UKANDA WA SADC
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameshiriki katika Kikao cha Baraza la Mawaziri wa Kisekta kwa ajili ya Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi katika Ofisi hiyo Mhe. Jenista…