
BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA AIESEC CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
Na Mwandishi wetu, Arusha KAMPUNI ya Barrick nchini, imedhamini na kushiriki katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana (AIESEC Tanzania) lililofanyika katika Chuo cha Uhasibu cha Arusha na kuwashirikisha wanafunzi, wahadhiri na wadau mbalimbali. Kupitia kongamano hilo ambalo hufanyika kila mwaka, wanafunzi huweza…