
Mansoor Daya, mwanzilishi wa famasi, viwanda vya dawa aliyeacha alama
Dar es Salaam. Wakati wanatasnia ya dawa na Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) wakiomboleza kifo cha Mansoor Daya, mwanzilishi wa biashara ya dawa nchini na Afrika Mashariki, mchango wake umetajwa akuwa mkubwa ambao hautasahaulika. Daya ni mfamasia wa kwanza kusajiliwa na Baraza la Famasi nchini ambalo hadi mwaka 2023 limesajili wafamasia 2,996, fundi dawa…