Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh 38 bilioni zitakazotekeleza  Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project” ambao unalenga  kuongeza ushiriki wa vijana na  wanawake katika shughuli za kiuchumi.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani …(endelea). Pia unalenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia teknolojia za kibunifu na kanuni za kilimo endelevu….

Read More

Michango ya gari la Lissu yafikia Sh10 milioni kwa saa 24

Dar es Salaam. Mwanaharakati wa mitandaoni nchini Tanzania, Maria Sarungi ambaye anaendesha kampeni ya kumchangisha fedha za kununua gari jipya la Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amesema michango hiyo imefika Sh10 milioni ndani ya saa 24. Maria ametoa taarifa hiyo leo Jumapili Mei 19, 2024 saa 3 asubuhi kupitia ukurasa wake wa X…

Read More

TANROADS YAANZA UTEKELEZAJI MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YATANGAZA ZABUNI UJENZI MADARAJA YA CHAKWALE NA NGUYAMI

Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Morogoro ya kukagua miundombinu ya Barabara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumtaka Waziri huyo kufika kusiko fikika ili kutatua kero za wananchi…

Read More

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze  unaojumuisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka JNHPP hadi Chalinze. Anaripoti Mwandishi wetu, Pwani…(endelea). Hayo yamebainishwa jana Jumamosi na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu…

Read More

Mwamba wenye sura za binadamu wageuka kivutio Same

Same. Unaweza kuwa ni moja ya miamba ya aina yake kuwahi kuonekana nchini Tanzania unaopatikana katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, unaoonekana kama taswira ya binadamu. Pamoja na mwamba huo wenye taswira ya mwanaume, pembeni yake, kushoto na kulia, zipo taswira mbili za wanawake wanaoonekana ni wajauzito. Yohana Ramadhani (70), mkazi wa Kijiji cha Kambeni,…

Read More

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WANAOTEKELEZA AFUA ZA WANAWAKE

-Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika kuandaa mipango na mikakati ya uwezeshaji wa wanawake nchini. Mbali na hayo pia Mheshimiwa Majaliwa amewasisitiza wadau…

Read More

MFUKO WA WCF WATAKIWA KUONGEZA WIGO WA WANACHAMA

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe Mhe. Fatuma Toufiq (katikati) akieleza jambo wakati wa Kikao cha kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya Fidia kwa Wafanyakazi, katika ofisi za WCF jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma. Kushoto ni Mkurugenzi…

Read More

Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka

Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni vitu viwili tofauti. Mfano, unaweza kumpenda mtu kiasi cha kujisikia vibaya usipomuona. Pia, unaweza kumtaka mtu ukadhani unampenda. Hata hivyo, kupenda kwa namna hii kunaweza kuwa…

Read More

Vituko, karaha mikataba ya nyumba za kupanga

Dar es Salaam. Umewahi kupangiwa mtindo wa maisha kwa masharti yaliyomo kwenye  mkataba wa nyumba ya kupanga unayoishi au uliyowahi kuishi? Swali hili linaakisi uhalisia wa karaha, vituko na maajabu ya masharti yaliyopo kwenye mikataba ya nyumba za kupanga yanayowakumba baadhi ya Watanzania. Masharti hayo kwa mujibu wa baadhi ya wapangaji, yanalazimu kubadili mtindo wa…

Read More