‘Watumia Gmail kaeni chonjo kuna kundi la wadukuzi’
Dar es Salaam. Kampuni ya Google imewataka watumaji wa huduma ya barua pepe ya mtandao ya Gmail kuwa makini kwani kuna kundi la wadukuzi wanaozilenga akaunti hizo, baada ya kufanikiwa kuiba taarifa. Google imesema watumiaji wa huduma hiyo wanaofika zaidi ya bilioni mbili duniani kote wasijibu jumbe zinazowataka kutoa nywila (Password), za akaunti zao. Google…