Sababu Songwe kuongoza mimba za utotoni

Songwe/Katavi. Mimba za utotoni ni tatizo kubwa linaloathiri jamii nyingi, hasa katika nchi zinazoendelea. Hali hii inahusisha wasichana wenye umri chini ya miaka 18 na ina athari mbaya kwa afya, elimu na maisha yao kwa ujumla. Makala haya yanajadili sababu za mimba za utotoni, athari zake na hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kupunguza tatizo hili katika…

Read More

TRA yapiga ‘stop’ magari kuegeshwa vituo vya mafuta

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepiga marufuku magari yanayopita nchini kuelekea nchi jirani kuegeshwa katika vituo vya mafuta na maeneo mengine ambayo hayajaidhinishwa, ikieleza imebaini njama ya kukwepa kodi. Hata hivyo, Chama cha Wasafirishaji Tanzania (TAT) na Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tamstoa) kwa pamoja vimesema vitatoa tamko. Taarifa kwa umma…

Read More

Utata askofu aliyedaiwa kujinyonga | Mwananchi

Dodoma. Utata umeibuka kuhusu  kifo cha Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala, baada ya ndugu kusema hakujinyonga kama ilivyosemwa na Jeshi la Polisi, ikidai alikuwa akipokea vitisho kabla ya kifo chake. Askofu huyo alikutwa amejinyonga ndani ya choo kwenye ofisi yake iliyopo katika kanisa hilo eneo la  Meriwa jijini Dodoma Mei 16, mwaka…

Read More

“HONGERENI JKT KWA KUENDELEZA UTALII”- DC KIBAHA

  Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Nickson Simon John amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kikosi chake cha Ruvu JKT kwa kuendeleza sekta ya utalii nchini. Mhe. Nickson ameyasema hayo wakati akizindua bustani ya wanyama pori walio wapole iliyopo katika kikosi cha Ruvu JKT kilichopo Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Ameongeza kuwa Uzinduzi…

Read More

MSOMERA WAMSHKURU RAIS SAMIA – Mzalendo

Wakazi wa Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wamemshkuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo mbalimbali na uboreshwaji wa huduma katika kijiji hicho. Kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dk. Samia imefanya maendeleo makubwa katika kijiji…

Read More

Jeshi la Uhifadhi kujengewa uwezo zaidi

  WIZARA ya Maliasili na Utalii imejipanga vyema kuendelea kulijengea uwezo Jeshi la Uhifadhi nchini kwa njia mbalimbali ikiwepo ya utowaji wa mafunzo mengi na ya mara kwa mara kwa Makamishna, maafisa na askari wa Jeshi hiko. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yamebainishwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Kitengo cha Uratibu wa Jeshi…

Read More

Waendesha kampeni Lissu apate gari jipya

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kukabidhiwa gari lake lililokuwa limehifadhiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Dodoma, baadhi ya watu, wakiwamo makada wa chama hicho, wameanzisha mchango kwa ajili ya kumnunulia gari jipya. Lissu alikwenda kituoni hapo juzi kuchukua gari hilo ikiwa imepita miaka saba…

Read More