
Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023
Arusha 18 Mei 2024 – Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi. Katika taarifa yake wakati…