Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma na kuwaomba Watanzania wamsaidie kulitengeneza kisha lifanye kazi za siasa.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Lissu amekabidhiwa gari hilo lililokuwa limehifadhiwa katika Kituo cha Polisi Dodoma tangu aliposhambuliwa kwa risasi tarehe…

Read More

Lissu akabidhiwa gari lake lililoshambuliwa kwa risasi

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti Chadema-Bara, Tundu Lissu amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi, jijini Dodoma, ikiwa ni takriban miaka saba tangu aliposhambuliwa. Gari hilo alilokabidhiwa leo, Mei 17, 2024 lilikuwa limehifadhiwa katika yadi ya Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma tangu Septemba 7, 2017 aliposhambuliwa kwa risasi…

Read More

Iringa kutumia Sh4.4 bilioni utekelezaji miradi ya maendeleo

Iringa. Halmashauri ya Manispaa ya Iringa inatumia zaidi ya Sh4.4 bilioni kutekeleza miradi ya maendeleo. Imeelezwa kati ya fedha hizo, Sh2.6 bilioni zinaboresha miundombinu ya jengo la kitega uchumi linalojengwa eneo la stendi ya zamani, ambako pia kunajengwa jengo la ghorofa mbili litakalotumiwa na wafanyabiashara. Hayo yamebainishwa leo Ijumaa Mei 17, 2024 wakati wa ziara…

Read More

KUELEKEA SIKU YA VIPIMO DUNIANI WMA YAENDELEA KUTOA ELIMU, KUKUMBUSHA SHERIA KWA WADAU

KUELEKEA Maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani inayoadhimishwa Mei 20 kila mwaka, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA,) imeendelea kuwafikia wadau mbalimbali na kutoa elimu na kuwakumbusha masuala mbalimbali yanayohusu vipimo ikiwemo uzingatiaji wa sheria za vipimo pamoja na afya. Akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Sterio, Temeke jijini Dar es Salaam Meneja wa WMA Mkoa…

Read More

Ufaulu famasia bado pagumu | Mwananchi

Dar es Salaam. Hali imeendelea kuwa ngumu katika ufaulu wa mtihani wa leseni ya Baraza la Famasia Tanzania kada ya watoa dawa na fundi dawa wasaidizi, baada ya robo tatu ya wanafunzi kufeli. Katika mtihani huo uliohusisha watahiniwa 200, wanafunzi 184 wameshindwa kufaulu katika awamu ya kwanza, hivyo baadhi yao wametakiwa kurudia mtihani huku wengine…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Bima ya Afya kwa Wakulima, Yatambulisha Kampeni Kuhamasisha Kilimo cha Ufuta Lindi na Mtwara.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchi nzima ikilenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo muhimu kwa kundi hilo. Hatua hiyo inatajwa kuwa itasaidia kuimarisha sekta ya afya ambayo ni moja ya nguzo muhimu katika ukuaji wa kilimo nchini….

Read More