
IMF YARIDHISHWA NA NAMNA TANZANIA INAVYOTEKELEZA MPANGO WA ECF
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, wakati wa Kikao cha Majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) iliyoongozwa na Kiongozi wa Timu hiyo, Bw. Harris Charalambos Tsangarides (hayupo…