
Mwanafunzi anayedai kubakwa na mwalimu wake aomba kuhamishwa shule
Musoma. Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda anayedaiwa kufanyiwa vitendo vya ukatili na mwalimu mkuu wa shule hiyo, Vicent Nkunguu, ikiwamo kubakwa, ameomba kuhamishwa kutoka shule wakati kesi ikiendelea. Akizungumza leo Mei 17,2024, mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 16 amewaomba wadau na Serikali kumtafutia shule mbadala ili aweze…