
VIDEO: Muhimbili kujenga hosteli za kufikia ndugu wa wagonjwa
Dodoma. Hospitali ya Taifa Muhimbili, imeandaa mpango wa uendelezaji wa eneo la hospitali (Master plan) ambapo miongoni mwa maeneo yatakayokuwepo kwenye mpango huo ni kujenga hosteli za bei nafuu ambazo ndugu wa wagonjwa watakaa. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameyasema hayo leo Mei 17,2024 wakati akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti…