Wanaume 17, 694 washiriki kupeleka wake zao kliniki

Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kuwa kinababa 17,694 sawa na asilimia 34 ya kinamama wote waliokwenda kliniki ya afya ya uzazi na mtoto walishiriki  kuwapeleka wenza wao kupata huduma za afya ya uzazi na mtoto wakati wa ujauzito. Hayo yamebainika leo Mei 17, 2024 katika mkutano wa 15 wa Baraza la Wawakilishi Chukwani…

Read More

Muhimbili kujenga hosteli za kufikia ndugu wa wagonjwa

Dodoma. Hospitali ya Taifa Muhimbili, imeandaa  mpango wa uendelezaji wa eneo la hospitali (Master plan) ambapo miongoni mwa maeneo yatakayokuwepo kwenye mpango huo ni kujenga hosteli za bei nafuu ambazo ndugu wa wagonjwa watakaa. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameyasema hayo leo Mei 17,2024 wakati akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti…

Read More

Mashauri ya ndoa yaongezeka | Mwananchi

Dodoma. Mashauri yanayohusu ndoa yaliyoshughulikiwa na kupitia Baraza la Usuluhishi la Ndoa yameongezeka kwa asilimia 8.3.  Hayo yamesemwa leo Mei 17,2024 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima alipokuwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2024/25. Bajeti hiyo imeomba Bunge kuwaidhinishia Sh67.90 bilioni…

Read More

DAR City kwenye TOP 10 ya Vilabu vinavyofatiliwa zaidi

Club ya Dar City inaongoza Ligi ya mpira wa kikapu Dar es Salaam, maarufu kama Basketbol Daresalaam Lig, ikiwa na pointi 29. Wanafuatiwa na timu ya Outsiders ambao pia wana pointi 29. Dar City pia ni timu ya Kikapu inayoongoza kwa kufuatiliwa kwenye mtandao wa Instagram kutokaTanzania. Dar City imeshika nafasi ya 10 katika orodha…

Read More

Wizara ya Mambo ya ndani yafanya kikao Maalumu na Viongozi wa Dini kujua namna ya kukabiliana na matukio ya uhalifu

Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii tunayoishi Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo katika kudhibiti matukio ya mauaji,mmomonyoko wa maadili,matumizi ya dawa za kulevya na matukio yanayoweza kuvuruga amani ya nchi. Akizungumza katika Kikao hicho kilichofanyika Makao…

Read More

VIDEO: Dakika 90 za hekaheka kufungwa Barabara ya Kilwa

Dar es Salaam. Ni hekaheka katika Barabara ya Kilwa inayounganisha Jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini, kutokana na wakazi wa Mtaa wa Kimbangulile kuifunga kwa takribani dakika 90 wakidai kuchoshwa na ajali zinazotokea kila uchwao. Hatua hiyo imetokana na ajali iliyotokea jioni ya jana Mei 16, 2024 iliyosababisha vifo vya watu wanne…

Read More