Ukweli kuhusu gesi kupoteza ladha ya chakula
Dar es Salaam. Katika jitihada za nchi kuachana na matumizi ya nishati chafu kama kuni na mkaa, mjadala unaibuka mitaani kuhusu matumizi ya gesi ya kupikia na athari zake kwenye ladha ya vyakula. Wapo wanaodai kuwa vyakula vinavyopikwa kwa kutumia gesi ukiwamo wali, havina ladha ikilinganishwa na unaopikwa kwa kutumia kuni au mkaa. Lakini je,…