
MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama…