Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther…

Read More

ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024. Sababu za kususia uchaguzi huo imetajwa ni mwendelezo wa chama hicho kikuu cha upinzani Zanzibar, kushinikiza watendaji waliopo kujiuzulu ili kupata makamishna wapya na sekretarieti mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi. Kwa nyakati tofauti…

Read More

TMDA INAZINGATIA UBORA WA DAWA ZA BINADAMU NCHINI-RC IRINGA

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba amewataka Waandishi wa Habari nchini kuripoti habari sahihi ilikuepuka taharuki ikiwemo suala la kuripoti habari za dawa na vifaa tiba ambalo lipo chini ya Mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA)Akifungua kikao kazi hiko, mapema leo Mei 16, 2024 kilichowakutanisha Wahariri na Waandishi wa Habari kutoka…

Read More

Peneza arusha kombora Chadema, wenyewe wajibu

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Upendo Peneza amekishutumu chama chake cha zamani,  akidai kilikuwa kikiwachangisha fedha wabunge, lakini matumizi yake hayakuwahi kuwekwa wazi. Peneza ambaye Januari 22 mwaka huu alijiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyesema hayo jana katika mahojiano maalumu na Radio ya Clouds FM. Alisema Chadema imekuwa…

Read More

TUTATEKELEZA MIRADI YOTE KAMA ILIVYORATIBIWA-MAJALIWA

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kutekeleza miradi yote ikiwemo ya kimkakati kwa ajili ya kuhudumia jamii. Mheshimiwa Majaliwa ameongeza kuwa Wizara ya Fedha itaendelea kupeleka fedha katika kila wizara ili miradi yote iliyoratibiwa na wizara hizo ikiwemo ya kilimo ziweze kukamilisha kazi zote zilizopangwa katika mwaka huu wa fedha. Ameyasema hayo leo…

Read More

Songwe yaweka mikakati kuongeza uzalishaji wa kahawa

Songwe. Wakati mkoa wa Songwe ukishika nafasi ya pili kitaifa kwa uzalishaji zao la kahawa aina ya Arabika, Serikali mkoani humo imesema inahitaji kuongeza uzalishaji wake kutoka tani 11,355 hadi 32,617 ifikapo mwakani 2025. Hayo yamebainishwa leo Mei 16, 2024 wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa wakulima 681 wa zao hilo kutoka vyama sita…

Read More

Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini arusha

Arusha 16 Mei 2024 – Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani ya Shilingi Milioni 50 kwenye hafla fupi ya makabidhiano…

Read More